Samatta afichua kazi aliyotamani kufanya kabla ya soka

Samatta afichua kazi aliyotamani kufanya kabla ya soka

0

Samatta afichua kazi aliyotamani kufanya kabla ya soka

Straika tegemeo zaidi katika klabu ya Genk na timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana ALLY SAMATTA amefichua kazi ambayo kabla ya mpira kuwa kama ajira kwake alitamani kuifanya.

Samatta akiwa na Thomas Ulimwengu mapema wiki hii wakitoka zao nje ya Nchi kujiunga Taifa Stars

Akitumia ukurasa wake wa Instagram Mbwana Samatta ameandika kuwa kabla ya soka alitamani Kuwa Mwanajeshi na kusema kuwa kuna wakati Mungu hakupi unachokipenda bali anakupa Unachostahili moja ya Mstari unaopatikana kwenye moja ya nyimbo za Msanii wa RAP One The Incredible.

” Muda mwingine mungu akupi unaloliomba ila anakupa linalokustahili…
Kabla ya soka,nilikuwa natamani kuwa mwanajeshi,je kwa sura hii unadhan ningependeza kuwa soja? “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY