Samatta awaza kumiliki ndege binafsi aandika Ujumbe Huu

Samatta awaza kumiliki ndege binafsi aandika Ujumbe Huu

0

Samatta awaza kumiliki ndege binafsi aandika Ujumbe Huu

Kila mtu na ndoto zake hivyo ndivyo unaweza kusema mara baada ya Straika wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Genk Mbwana Samatta kueleza Ndoto za kumiliki ndege binafsi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msomaji wa kwataunit.co.ke  Mbwana Samatta amepost picha akiwa kwenye moja ya ndege na kuandika ujumbe wa kuwa  baada ya kupiga picha kwenye ndege hiyo ndoto za kumiliki ndege binafsi “Private jet” ndo zimeanza licha kuamini pia ndoto zinaweza zisitimie ila acha vita Ianze.

🤔 ndoto za kumiliki private jet zimeanza baada ya kupiga picha hii 🤨 sio kila ndoto inaweza kutimia ila, acha vita ianze😡

View this post on Instagram

🤔 ndoto za kumiliki private jet zimeanza baada ya kupiga picha hii 🤨 sio kila ndoto inaweza kutimia ila, acha vita ianze😡

A post shared by Mbwana Samatta (@samagoal77) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY