TAKUKURU yamsaka kiongozi Simba yatangaza donge nono kwa atakayefanikisha

TAKUKURU yamsaka kiongozi Simba yatangaza donge nono kwa atakayefanikisha

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

TAKUKURU yamsaka kiongozi Simba yatangaza donge nono kwa atakayefanikisha

Leo September 14, 2018 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa {TAKUKURU} imemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope kujisalimisha katika ofisi zake au Kituo cha Polisi.

Mbali na Hans Pope, TAKUKURU imemtaka pia Frankline Lauwo kujisalimisha, huku wote wakitakiwa kujibu tuhuma zinazowakabili juu ya mashtaka ya kutoa taarifa za uongo TRA.

TAKUKURU imetangaza zawadi nono kwa Mwananchi yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa Watuhumiwa hao baada ya kutafutwa bila mafanikio.

source : Millard Ayo

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY