Takwimu mechi 5 za Mwisho Yanga vs Stand United

Takwimu mechi 5 za Mwisho Yanga vs Stand United

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Takwimu mechi 5 za Mwisho Yanga vs Stand United

Leo 16.9.2018 kutakuwa na Mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara kati ya Yanga dhidi ya Stand United.

Hizi ni Takwimu za Mechi 5 za Mwisho kati ya Yanga na Stand United zilipokutana katika mechi.

3.5.2016

Stand United 1 – 3 Yanga

25.9.2016

Stand United 1 – 0 Yanga

05.2.2017

Yanga 4 – 0 Stand United

22.10.2017

Stand United 0 – 4 Yanga

12.3.2018

Yanga 3 – 1 Stand United

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY