Tambo za Haji Manara kabla ya Mchezo dhidi ya Ndanda leo

Tambo za Haji Manara kabla ya Mchezo dhidi ya Ndanda leo

0

Tambo za Haji Manara kabla ya Mchezo dhidi ya Ndanda leo

Ikiwa ni saa chache tu zimesalia kabla ya mechi kati ya Ndanda na Simba kuchezwa katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara afisa habari wa Simba Haji Manara ameanza tambo mapema

Kwa kujinadi kutokana na msululu wa watu wanaojipanga kuingia uwanjani akiamini wataendelea kujaza viwanja na rekodi za Mapato

Kupitia Instagram Haji manara ameandika Ujumbe Huu.

Kuanzia kujaza viwanja hadi kwenye Social media Simba ndio kila kitu Tanzania.
Tunavunja kila rekodi ya Mapato Bongo..nnaposema we are BIG BRAND namaanisha…huku mitandaoni ndio nawakimbiza by far..wao wapo Mlandizi kidume nipo Sekenke…halaf wote twaelekea Mwanza kwa mfano…
Mtwara hyo kuchele ndani ya Nangwanda

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY