Tamko la Yanga baada ya taarifa za Mo Banka kufungiwa na CAF

Tamko la Yanga baada ya taarifa za Mo Banka kufungiwa na CAF

0

Tamko la Yanga baada ya taarifa za Mo Banka kufungiwa na CAF

Baada ya jana taarifa kuibuka kuwa Mchezaji kiungo wa Yanga Mohammed Issa Banka amekuwa hachezi kutokana na kufungiwa na Shirikisho la mpira barani Afrika CAF kutokana na matumizi ya dawa zisizoruhusiwa michezoni wakati akiichezea Zanzibar CECAFA mwaka jana.

Klabu ya Yanga imeibuka na Kutoa Taarifa yake baada ya jambo hilo kushika kwenye vyombo vya habari

Katibu mkuu aliyeshikiria nafasi ya Mkwasa baada ya Mkwasa kujiuzulu Omary Kaya amefunguka haya.

” Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu Mo Banka na ni kweli kila mtu amekuwa akizungumza analolifahamu yeye, lakini imekuwa ni wakati muafaka wa kusubiri taarifa kutoka kwa TFF na kama kuna tatizo au suala la kufungiwa au kuna adhabu natumaini kabisa tutapata taarifa kutoka kwao na Tutalizungumzia hili suala “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY