TFF yatoa tamko Ishu ya Mechi ya Simba na Yanga kusogezwa mbele

TFF yatoa tamko Ishu ya Mechi ya Simba na Yanga kusogezwa mbele

0

TFF yatoa tamko Ishu ya Mechi ya Simba na Yanga kusogezwa mbele

Baada ya kuanza kuenea kwa taarifa za kusogezwa mbele pambano la watani wa jadi kati ya Simba na Yanga pambano lililopangwa kufanyika September 30 uwanja wa Taifa TFF wamekuja na Tamko.

Akiongea na waandishi wa habari leo asubuhi Afisa habari wa TFF Clifford Ndimbo amefunguka kuwa Mchezo huo uko palepale kama ulivyopangwa awali utafanyika Tarehe 30.9.2018 kuanzia majira ya saa kumi alasiri uwanja wa Taifa kama ilivyopangwa awali.

VIINGILIO VYA MCEZO

Ndimbo ametaja pia Viingilio vya mechi hiyo ambapo tiketi zitaanza kuuzwa kuanzia tarehe 20 September kupitia Selcom na Viingilio vikiwa VIP A 30,000 VIP B na C 20,000 Na Mzunguko 7000.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY