Thomas Ulimwengu afunga bao timu yake Ikishinda jana

Thomas Ulimwengu afunga bao timu yake Ikishinda jana

0

Thomas Ulimwengu afunga bao timu yake Ikishinda jana

Usiku wa Jana mshambuliaji Mtanzania anayecheza soka la Kulipwa nchini Sudan Katika klabu ya Al Hilal jana aliisaidia timu yake kupata Ushindi kwa kufunga bao 1 katika ushindi wa mabao manne wakicheza dhidi ya Al Khartoum

Mchezo huo ulikuwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Soka ya Nchini Sudan , Ulimwengu amekuwa akifunga mara kwa mara toka alipojiunga na Al Hilal ya Sudan mwezi June.

Nyota huyo baada ya kumaliza shughuli hiyo ya jana ataungana na kikosi cha Taifa Stars ambacho kimeshaanza mazoezi kujiwinda na mchezo dhidi ya Uganda utakaochezwa huko Uganda katika uwanja wa Nelson Mandela

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY