Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Meddie Kagere leo 12.9.2018

Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Meddie Kagere leo 12.9.2018

0

Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Meddie Kagere leo 12.9.2018

Mara baada ya kumaliza shughuli ya timu ya Taifa ya Rwanda Mshambuliaji wa Simba na mshambuliaji Kinara wa Magoli TPL Meddie Kagere ameandika Ujumbe ambao ni faraja kwa wana Simba

Kupitia mtandao wake wa Instagram Meddie Kagere ameandika Ujumbe kuwa Amerejea Dar Es Salaam.

Akitumia Lugha ya Kiingereza ” AM BACK ”

Kurejea kwa Meddie Kagere mzee wa Kufunika Jicho moja anapofunga ni faraja kwa wanaSimba kwani msimu wa Ligi toka umeanza amefunga bao zote tatu ambazo Simba Imeshafunga katika mechi 2 ilizocheza.

 

View this post on Instagram

 

Am back 👊❄

A post shared by Medie kagere (@official_kagere14) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY