Ujumbe wa Haji Manara Siku ya Kuzaliwa (Birthday ) ya Ibrahimu Ajib

Ujumbe wa Haji Manara Siku ya Kuzaliwa (Birthday ) ya Ibrahimu Ajib

0

Ujumbe wa Haji Manara Siku ya Kuzaliwa (Birthday ) ya Ibrahimu Ajib

Wakati jana 12.9.2018 Ibrahim Ajibu akiazimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake Haji MANARA aliandika ujumbe wake kwenda kwa nyota huyo wa zamani wa Simba ambaye kwasasa yupo Yanga.

AKitumia ukurasa wake wa instagram Haji Manara aliandika Ujumbe Huu kwa Ibrahim Ajibu.

“Miudambwi dambwi kama yote kwa mwana !! Anajua na yy anajua kuwa anajua..(bad luck alipishana na behewa la fedha) 
Happy birthday fundi …..nani aijuae kesho yake? @ibrahimajibu23″

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY