Ujumbe wa Manara baada ya kula chakula chenye sumu

Ujumbe wa Manara baada ya kula chakula chenye sumu

0

Ujumbe wa Manara baada ya kula chakula chenye sumu

Leo Afisa habari wa mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara Simba Mr Haji Sunday Manara ameamka na habari ambayo siyo nzuri sana kwani ameandika ujumbe wa Kusikitisha.

Haji Ameandika kuhusu taarifa kuwa anaumwa pressure wengine wakisema anaumwa moyo lakini Haji Manara akitumia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe kuwa anahisi alikula chakula chenye sumu huku akiwashukuru madaktrari wa Mwanza na Shinyanga waliomhudumia.

Siumwi pressure wala moyo kama inavyoandikwa mitandaoni..nahic nimepata food poisoning na niwashukuru Madaktari walionihudumia awali Shinyanga na Mwanza ..now nisharejea Dar teyari kwa vipimo zaidi…Insha’Allah kila kitu kitazidi kuwa salama

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY