USAJILI : Gor Mahia wamalizana na wachezaji wawili

USAJILI : Gor Mahia wamalizana na wachezaji wawili

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

USAJILI : Gor Mahia wamalizana na wachezaji wawili

INAELEZWA Kuwa mabingwa wa soka nchini kenya Timu ya Gor Mahia imekamilisha usajili wa wachezaji wawili mmoja kutoka Singida United ya Tanzania.

Timu ya Gor Mahia kupitia kwa CEO wake Lordvick Aduda ameithibitishia kwataunit.co.ke kuwa wamemalizana na wachezaji Kenneth Muguna ambaye aliwahi kutumikia timu hiyo kabla ya kwenda nchini Albania katika klabu ya KF Tirana akicheza soka la Kulipwa

Na mchezaji mwingine Shafiq Batambuze mlinzi wa Kushoto akitokea Singida United ya Tanzania.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY