Utani wa Dismas Ten kwa washabiki wa Simba leo

Utani wa Dismas Ten kwa washabiki wa Simba leo

0

Utani wa Dismas Ten kwa washabiki wa Simba leo

Afisa habari wa klabu ya Yanga Dismas Ten ameandika ujumbe wa UTANI Kwa washabiki wa Simba akihoji wamesharudi au bado? kisha akaandika hashtag ya Hawapatikani Hewani kisha akmaaliza na msemo ambao umekuwa maarufu siku za Karibuni Kwani sisi na wao lini?

Washarudi au bado ..?
#hawapatikaniHewani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
— all right received —
#kwanisisinawaolini?

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY