Utani wa Haji Manara kwa Dismas Ten kuelekea mechi ya watani

Utani wa Haji Manara kwa Dismas Ten kuelekea mechi ya watani

0

Utani wa Haji Manara kwa Dismas Ten kuelekea mechi ya watani

Haji Manara tayari ameshaanza uchokozi kwa msemaji wa Yanga kuelekea pambano la watani wa jadi Simba na Yanga September 30, 2018 uwanja wa Taifa.

Kupitia ukurasa wa Instagram Haji Manara ameandika ujumbe akisema Dismas Ten asubiri tu kurudi Uyole (mbeya) kwa Mguu baada ya mechi ya watani akiamini Simba Itawakalisha Yanga.

Mnyakusya wa kwanza kuja Mji wa Mzizima now Dar es salaam ni Philipo Mwakatobe..ilikuwa 1807 (miaka 211 iliyopita)huyu alikuja kwa kulikata Pori..Misitu na Nyika hadi akawasili Dar..na alifikia kwa Babu wa Babu yangu Shekh Haji Bin Shekh Mudeer Bin Hassan Bin Ulamaa Al Makhtoub…c unajua Waarabu wa zama hzo tena..!!
Jpili hii baada ya game kisasi cha kurudi kwa mguu hadi Uyole kinakuja…
🎸acha kupiga mayowe 🎼waje waone 

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY