Waamuzi wote watakaochezesha Simba vs Yanga September 30 hawa hapa

Waamuzi wote watakaochezesha Simba vs Yanga September 30 hawa hapa

0

Waamuzi wote watakaochezesha Simba vs Yanga September 30 hawa hapa

Hatimaye Shirikisho la soka nchini Tanzania limetangaza majina ya waamuzi watakaochezesha pambano la watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga September 30, 2018.

Kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya waamuzi Salum Umande Chama waamuzi watakaochezesha pambano hilo ni Mwamuzi wa Kati Jonesia Rukyaa kutoka Kagera.

Akisaidiwa na line 1 na Line 2 Ferdinand Chacha na Mohammed Mkono huku mwamuzi wa mezani atakuwa Elly Sassii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY