Wachezaji Yanga wapandishwa mzuka na jambo hili kuelekea mchezo na Stand

Wachezaji Yanga wapandishwa mzuka na jambo hili kuelekea mchezo na Stand

0

Wachezaji Yanga wapandishwa mzuka na jambo hili kuelekea mchezo na Stand

Klabu ya Yanga kesho Jumapili 15.9.2018 Itashuka uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam kucheza mchezo wao wa pili ligi kuu TPL dhidi ya Stand United kutoka Mkoani SHinyanga.

Kuelekea mchezo huo unaambiwa mizuka ya wachezaji wa Yanga imepanda na sasa  wanawasubiri tu hao Stand United ili waweze kuwafunga na kujihakikishia points 3 nyingine baada ya zile tatu za awali wakicheza na Mtibwa Sugar.

Mizuka hiyo imekuja mara baada ya malipo ya mishahara ya miezi miwili waliyolipwa wachezaji ambapo kwataunit.co.ke imepenyezewa habari kuwa  kuwa pesa hizo zimetoka kwa wqadhamini wao Sportpesa. Kuzipata habari za Uhakika kila wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY