Wakati wengi wakilia na Kindoki Zahera ataja sababu za Kutompanga Kakolanya

Wakati wengi wakilia na Kindoki Zahera ataja sababu za Kutompanga Kakolanya

0

Wakati wengi wakilia na Kindoki Zahera ataja sababu za Kutompanga Kakolanya

Wakati mashabiki wengi wa Yanga wakilia na uwezo wa Klaus Kindoki licha ya kupata ushindi wa bao 4 kwa 3 mbele ya Stand United chama la wana kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ametaja sababu za Kumweka Benchi Beno Kakolanya.

Mwinyi Zahera akizungumza baada ya mchezo huo amefunguka kuwa Alimweka benchi Beno Kakolanya kutokana na kipa huyo Kufanya mazoezi kwa siku moja tu.

Zahera alisema Beno Kakolanya toka alipotoka timu ya Taifa alifanya mazoezi siku ya Jumamosi pekee hivyo yeye kama kocha asingeweza kumpa nafasi ya Kuanza hata kama alionyesha uwezo mkubwa mechi zilizopita.Kwa habari za Kila wakati kwa haraka Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY