Yanga kucheza mchezo wa Kirafiki na Timu hii

Yanga kucheza mchezo wa Kirafiki na Timu hii

0

Yanga kucheza mchezo wa Kirafiki na Timu hii

Klabu ya Yanga ambayo ianendelea na mazoezi ya kila siku katika uwanja wa Polisi Kurasini ikijiandaa na mchezo dhidi ya Stand United ligi kuu Inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wikiendi hii.

Yanga itacheza mchezo wa Kirafiki na African Lyon ambayo pia inashiriki ligi kuu siku ya Jumapili kuanzia majira ya saa kumi Alasiri katika uwanja wa Uhuru.

Taarifa hizo zimethibitishwa na Meneja wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro akisema lengo la mchezo huo ni kuzidi kukifanya kikosi chao kuelewana lakini pia nafasi kwa wachezaji wasiopata nafasi ya Kuonekana kuonyesha uwezo wao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY