Yanga wafunguka kama Fei Toto atacheza dhidi ya Simba

Yanga wafunguka kama Fei Toto atacheza dhidi ya Simba

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Yanga wafunguka kama Fei Toto atacheza dhidi ya Simba

Baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Yanga na Singida kumalizika moja kati ya mijadala iliyoibuka ilikuwa ni kadi za Feisal Salum

Wapo walioanza kusema kuwa kiungo huyo aliyejizolea umaarufu ndani ya Yanga kuwa atakosekana katika mchezo huo kutokana na kuwa na kadi 3 za njano.

Mratibu wa klabu ya YANGA Hafidh Saleh ameithibitishia kwataunit.co.ke kuwa mchezaji huyo atakuwemo kwenye kikosi cha Yanga kama kocha ataamua kumpanga kwani anakadi 2 za njano pekee.

Na alizipata kwenye mechi kati ya Yanga na Stand United na mchezo wa jana kati ya Yanga na Singida United kwahiyo anasifa zote za kucheza kwenye mchezo wa Simba September 30 2018.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY