Yanga wataja wachezaji watakaokosekana mechi ya Watani Jumapili

Yanga wataja wachezaji watakaokosekana mechi ya Watani Jumapili

0

Yanga wataja wachezaji watakaokosekana mechi ya Watani Jumapili

Jumapili 30 September 2018 kutakuwa na Mechi ya Kukata na Shoka kati ya Simba watakaokuwa wenyeji wa Yanga katika uwanja wa Taifa Jijini  Dar Es Salaam.

Kuelekea mchezo huo klabu ya Yanga imetaja wachezaji ambao watakosekana kuelekea mchezo wao dhidi ya watani wao wa Jadi klabu ya SImba.

Meneja wa Klabu ya Yanga Nadir Haroub maarufu kwa jina la Cannavaro amefunguka kuwa Yanga itawakosa wachezaji wake wawili Juma Abdul na Juma Mahadhi ambao ni majeruhi lakini wachezaji wengine wote wapo kamili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY