Yanga watangaza rasmi walipoweka Kambi yao kuelekea Dar Dabi

Yanga watangaza rasmi walipoweka Kambi yao kuelekea Dar Dabi

0

Yanga watangaza rasmi walipoweka Kambi yao kuelekea Dar Dabi

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi mahali ambapo imeweka kambi yake kuelekea mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga September 30 2018.

Yanga kupitia kwa mratibu wake Hafidh Saleh wameeleza kuwa timu itakweka kambi ya siku tano mkoani Morogoro na Kurejea siku ya Ijumaa tayari kwa mchezo wa Jumapili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY