Zahera apendekeza mashine hizi kutua Yanga wapo wa TP Mazembe

Zahera apendekeza mashine hizi kutua Yanga wapo wa TP Mazembe

0

Zahera apendekeza mashine hizi kutua Yanga wapo wa TP Mazembe

Katika vitu ambavyo wanayanga wengi wanaomba usiku na mchana ni Yanga kuwa na Fedha za uhakika kwani wanajua mambo ya usajili kwa wachezaji wazuri na wakubwa haitakuwa ishu kubwa kwao.

Sasa msomaji wa Kwataunit.co.ke unaambiwa kuwa Mwalimu Mwinyi Zahera amependekeza majina ya wachezaji hatari kutoka Congo ila akawa anahofia juu ya Thamani za wachezaji hao kama Yanga wataweza kuwalipa Mishahara ambayo wamekuwa wanalipwa kwenye klabu zao.

Kwani Kuna wachezaji mfano wa kutoka Tp Mazembe na wa AS Vita wanalipwa kati ya dola 5000 hadi 8000 kati ya milioni 11 hadi 18 kwa mwezi.

Wachezaji ambao Mwinyi Zahera amewashawishi na kama Yanga watakuwa na pesa wanaweza kutua ni Washambuliaji Elia Meshack na Ben Malango kutoka TP Mazembe, na Mshambuliaji mwingine Cedric Kilua kutoka SM Balende

Mchezaji mwingine ni beki kutoka Vita Club ya huko huko Congo Ngonda Muzinga. Kuzipata habari kwa haraka Like Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY