Alichoandika Haji Manara baada ya kocha wa Yanga kumponda Ajibu

Alichoandika Haji Manara baada ya kocha wa Yanga kumponda Ajibu

0

Alichoandika Haji Manara baada ya kocha wa Yanga kumponda Ajibu

Kocha wa Yanga baada ya Mchezo kati ya Yanga na Alliance Schools licha ya kusifia uwezo na akili ya mpira aliyonayo Ibrahim Ajibu lakini alimpa 4 ya 10 kutokana na kile alichokifanya uwanjani.

Huku akienda mbali na kusema hata Timu ya Taifa anaweza kuitwa lakini timu ya taifa inahitaji mtu anayejitolea sana kitu ambacho Ajibu bado kwenye kujitolea.

Baada ya Zahera kusema hayo afisa habari wa Simba Haji manara ameibuka na kuandika haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram.

Mm c kocha ila Mpira ni mchezo wa hadharani,Ajibu kwa anavyocheza hv sasa anastahili kuzodolewa hv kwenye public? Anaassist na anafunga na bado anaambiwa hachezi vzuri!! 😳😳

Hakikisha Umeinstall app yetu ya Kwata Unit uzipate kali za Kimichezo kwa wakati BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY