Alichoandika Haji Manara baada ya Mo Dewji kurejea salama Nyumbani kwake

Alichoandika Haji Manara baada ya Mo Dewji kurejea salama Nyumbani kwake

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Alichoandika Haji Manara baada ya Mo Dewji kurejea salama Nyumbani kwake

Mara baada ya Taarifa za mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba Mohammed Dewji Kurejea akiwa salama

Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji Manara ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Naandika nafuta ,naandika nafuta, ahh!! Anaitwa Mungu Mwenye Enzi, Alhamdulillah!! Ngoja nitulize akili kwanza,ntarudi baadae 🙏

Kuzipata Habari za Michezo kwa wakati kila zinapotokea Install App ya Kwata Unit >> BONYEZA HAPA <<

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY