Alichoandika John Bocco tukio la Mo Dewji kutekwa

Alichoandika John Bocco tukio la Mo Dewji kutekwa

0

Alichoandika John Bocco tukio la Mo Dewji kutekwa

Nahodha wa timu ya Simba John Bocco ameandika Ujumbe kuhusiana na tukio la Mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba kutekwa leo asubuhi.

John Bocco akitumia ukurasa wake wa Instagram ameandika Ujumbe huu

Mungu akusimamie na kukulinda huko ulipo inshaallah…🙏🏿🙏🏿🙏🏿 atakuepusha na changamoto zote na kurudi salama🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY