Alichojibu Aussems alipoulizwa kama kuna mchezaji yeyote anayeweza msajili Yanga

Alichojibu Aussems alipoulizwa kama kuna mchezaji yeyote anayeweza msajili Yanga

0

Alichojibu Aussems alipoulizwa kama kuna mchezaji yeyote anayeweza msajili Yanga

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Patrick Aussems amefunguka mambo kadhaa alipoulizwa kuhusu anavyokiona Kikosi cha Yanga na harakati za kuwania Ubingwa.

Magazeti ya Michezo Tanzania 15.10.2018

Kocha Patrick Aussems amekiri kuwa Alivyowatazama Yanga katika michezo kadhaa amebaini siyo timu ya kuchukulia poa na wanaweza wakawa wapinzani wakubwa wa Simba katika kuwania Ubingwa wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL 2018/2019.

Lakini Kocha Patrick Aussems amekiri wazi kuwa katika kikosi cha yanga bado hajaona mchezaji wa kusajili kwani bado Kikosi chake kina kila aina ya wachezaji wenye uwezo wa hali ya Juu. Kuzipata habari punde tu zinapotoka kwenye simu yako kama Inavyoingia Meseji Download Application yetu HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY