Alichokisema Kocha Amunike baada ya Taifa Stars kupoteza mchezo

Alichokisema Kocha Amunike baada ya Taifa Stars kupoteza mchezo

0

Alichokisema Kocha Amunike baada ya Taifa Stars kupoteza mchezo

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mnigeria Emmanuel Amunike baada ya TAIFA STARS kupoteza kwa Cape Verde kwa kichapo cha mabao 3 kwa 0 amefunguka mambo kadhaa.

Akizungumza baada ya mchezo huo kocha wa Tanzania amefunguka Haya.

Bado tunamechi Tanzania kwasasa tunachokiangalia ni makosa yetu tunatakiwa kuyaangalia makosa yetu kabla ya Jumanne, Kundi bado liko wazi Tukishinda Jumanne tutakuwa na Points nne, Kipindi cha pili tulicheza vizuri zaidi kuliko cha Kwanza ambacho tulipoteza umakini na kuruhusu magoli mepesi mno, Lakini tunatakiwa kujifunza kutokana na hayo.

Jumanne 16.10.2018 Taifa Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Cape Verde katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY