Alichokisema Masoud Djuma baada ya Mo Dewji kutekwa

Alichokisema Masoud Djuma baada ya Mo Dewji kutekwa

0

Alichokisema Masoud Djuma baada ya Mo Dewji kutekwa

Ikiwa ni siku nane toka Kutekwa kwa mfanyabiashara bilionea na mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba Mo Dewji aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba amefunguka kitu.

Masoud Djuma ambaye kwasasa ni kocha wa AS Kiali ya Rwanda alisema amesikitishwa na tukio hilo la Kutekwa kwa boss wake wa zamani

Ombi la Masoud Djuma kwa Simba na Watanzania ni kumuombea kwa Mungu ili awe mahali salama na apatiakne akiwa yuko hai na salama.Waliodownload App yetu kaa chonjo muda wowote Tutakuwa Tukitoa zawadi za Vocha, Kama bado haujadownload BONYEZA HAPA waliodownload endelea kutembelea

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY