Amka na habari hii mpya kutoka Yanga leo 12.10.2018

Amka na habari hii mpya kutoka Yanga leo 12.10.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Amka na habari hii mpya kutoka Yanga leo 12.10.2018

Mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania klabu ya Yanga leo asubuhi inatarajia kuondoka jijini Dar Es Salaam kuelekea Zanzibar kucheza na  Malindi ya visiwani humo.

Mchezo huo utachezwa siku ya Kesho Jumamosi katika uwanja wa Amani Zanzibar.

Muda wa mechi na Chaneli itakayoonyesha.

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit.co.ke itaanza majira ya saa kumi na Itaonyeshwa live kupitia Azam Sports 2.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY