Amka nayo habari hii mpya kutoka Yanga leo 3.10.2018

Amka nayo habari hii mpya kutoka Yanga leo 3.10.2018

0

Amka nayo habari hii mpya kutoka Yanga leo 3.10.2018

Wakati ikielekea wiki ya FIFA ya michezo mbalimbali kufuzu michuano inayosimamiwa na mashirikisho ya Soka yaliyo chini ya FIFA

Kocha wa Klabu ya Yanga Mwinyi Zahera leo alfajiri ataondoka kuelekea kwao Nchini Congo kwaajili ya maandalizi ya timu ya Taifa ya Congo inayojiandaa na Mchezo wa kufuzu AFCON .

Timu ya Congo DRC itacheza October 11 na timu ya Taifa ya Liberia ambayo mshambuliaji wa zamani wa Yanga Kper Sherman anacheza katika kikosi cha Timu hiyo ya Taifa.

Yanga pia leo itakuwa na mkutano na Waandishi wa habari makao makuu ya Klabu hiyo kuanzia majira ya saa saba na nusu mchana.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY