Aussems ataja maeneo atakayopunguza na Kuongeza wachezaji dirisha dogo

Aussems ataja maeneo atakayopunguza na Kuongeza wachezaji dirisha dogo

0

Aussems ataja maeneo atakayopunguza na Kuongeza wachezaji dirisha dogo

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amechungulia Kikosi chake na Kukiri kuwa kikosi chake licha ya kuwa kiko vizuri ila Kuna Maeneo hayakuwa na uwiano mzuri wakati wa usajili.

Upande wa Golini : Kocha Patrick Aussems amefunguka kuwa kuna haja ya kupunguza kipa hata mmoja kwani wapo wengi mno, Simba inamakipa takribani watano ambao ni Aishi Manula, Deo Munishi, Salim , Nduda na Mseja ambapo amekiri kuna haja ya kuwapunguza na kubaki na makipa watatu.

Mabeki wa pemebeni : Upande wa mabeki wa pembeni Kocha Aussems anaonelea kuwa Kapombe anahitaji msaidizi huku beki wa kushoto anaona hakuna tatizo hahitaji kuongeza wala kupunguza

Kuzipata habari punde tu zinapotoka kwenye simu yako kama Inavyoingia Meseji Download Application yetu HAPA

Aussems pia ameonelea eneo la beki wa akti kuwa kwasasa wapo wengi mno kiasi cha kumuumiza kichwa na anafikiria kupunguza ikiwezekana kuwatoa baadhi kwa Mkopo katika eneo hilo Simba inawachezaji kama Wawa, Nyoni, Bukaba, Mlipili, na sasa kaongezeka Juuko Murshid.

Kocha Patrick Aussems msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka katika eneo la viungo wa Kati ataongeza kiungo mkabaji mwenye nguvu na akili ili aweze kumsaidia Jonas Mkude lakini kwenye viungo wachezeshaji akiona kuwa kuna haja ya Kupunguza kwani napo kumekuwa hakuna uwiano mzuri katika eneo hilo.

Simba kwasasa inaviungo wachezeshaji kama Haruna Niyonzima, Cletous Chama, Mzamiru Yassin, Said Ndemla, Hassan Dilunga. Kutokana na kutokuwepo kwa uwiano mzuri kwenye baadhi ya maeneo kocha huyo ameonelea kuwatoa baadhi ya wachezaji kwa mkopo huku wengine huenda wakaachwa. Kuzipata habari zetu kila wakati Like Ukurasa wetu wa Facebook HAPA

Kuzipata habari punde tu zinapotoka kwenye simu yako kama Inavyoingia Meseji Download Application yetu HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY