Beno aibua siri ya mama yake kukaa siku 3 bila Kula kisa...

Beno aibua siri ya mama yake kukaa siku 3 bila Kula kisa Simba

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Beno aibua siri ya mama yake kukaa siku 3 bila Kula kisa Simba

Wakati watu wengi bado wakiwa wanaendelea kummiminia Beno Kakolanya sifa kutokana na uwezo mkubwa aliouonyesha kwenye mchezo dhidi ya Simba

Kipa huyo ambaye kwasasa yupo kambini  timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars amefunguka kuwa mama yake alifunga siku tatu bila kula kumuombea ili afanye vizuri kwenye mchezo dhidi ya Simba.

Beno Kakolanya alifunguka pia mama yake amekuwa akifanya hivyo mara kwa mara lakini safari hii kuelekea mechi dhidi ya Simba hakumwambia kama amefunga kwa siku tatu kwaajili yake.

Kakolanya ameweka wazi kuwa anampenda sana mama yake ambaye amekiri kuwa si mpenzi wa mpira lakini amekuwa akimuombea sana ili mwanaye afanikiwe.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY