Boniface Oluoch aongeza mkataba Gor Mahia

Boniface Oluoch aongeza mkataba Gor Mahia

0

Boniface Oluoch aongeza mkataba Gor Mahia

Kipa mzoefu wa Gor Mahia Boniface Oluoch ameongeza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kucheza katika klabu ya Gor Mahia mpaka 20121.

Oluoch amefanya hivyo ikiwa mkataba wake wa awali ukielekea ukingoni mwezi January mwakani na kusaini mkataba mpya kutamfanya kuendelea kuitumikia K’Ogalo.

C.E.O wa Gor Mahia Lordvick Aduda ameithibitishia kwataunit.co.ke juu ya makubaliano hayo kati ya Oluoch na Gor Mahia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY