Breaking News : Mo Dewji atekwa na watu wasiojulikana

Breaking News : Mo Dewji atekwa na watu wasiojulikana

0

Breaking News : Mo Dewji atekwa na watu wasiojulikana

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba mfanyabiashara maarufu nchini na Mwekezaji mkuu wa klabu ya Simba Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji ametekwa na watu wasiojulikana.

Tukio hilo limetokea wakati Mo Dewji akiingia Gym ya Coloseum Hotel iliyopo jijini Dar Es Salaam

Wakati anaingia walitokea watu wasiojulikana na kisha wakapiga risasi juu na kuondoka naye kwenda kusikojulikana. Tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY