Breaking News : TFF yatoa taarifa rasmi kuhusu mechi zinazofuata za Simba...

Breaking News : TFF yatoa taarifa rasmi kuhusu mechi zinazofuata za Simba na Yanga

0

Breaking News : TFF yatoa taarifa rasmi kuhusu mechi zinazofuata za Simba na Yanga

Baada ya taarifa kutoka kwa baadhi ya vyombo vya habari kuwa mechi za Simba na Yanga kuahirishwa kutokana na wachezaji kuitwa kambini Taifa Stars TFF wamekuja na Taarifa hii kuhusiana na mechi hizo

TFF wameandika kupitia kurasa zao za Twitter na Instagram kuwa hakuna mechi iliyoahirishwa na zote zitachezwa kama zilivypangwa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY