Breaking News: Vilabu vitatu vya Uingereza vinamtaka Mbwana Samatta

Breaking News: Vilabu vitatu vya Uingereza vinamtaka Mbwana Samatta

0

Breaking News: Vilabu vitatu vya Uingereza vinamtaka Mbwana Samatta

Moja kati ya Mitandao mikubwa nchini Uingereza Hitc.com limeripoti kuwa vilabu vitatu vya nchini Uingereza viko katika ushindani wa Kumtaka Mtazanania Mbwana Ally Samatta.

Mtandao huo umeandikwa kuwa vilabu vya Everton, Burnley na West ham vipo katika harakati za kuitaka saini ya Mtanzania huyo anayecheza katika klabu ya Genk ya Nchini Ubelgiji.

Mbwana Samatta amekuwa kwenye kiwango bora siku za Karibuni kiasi cha kufunga jumla ya magoli 14 katika mechi 16.

Samatta alifunga jumla ya Magoli 6 katika hatua za awali kufuzu michuano ya Europa akiwa pia ni mtu wa pili kwa upachikaji wa magoli katika ligi kuu ya Ubelgiji akiwa na magoli 8 na anayeongoza akiwa na Magoli 9 Ivan Santini kutoka Anderlecht

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY