Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo 10.10.2018

Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo 10.10.2018

0

Habari mpya kutoka Yanga jioni ya Leo 10.10.2018

Klabu ya Yanga inatarajiwa kuwa na mchezo wa Kirafiki huko visiwani Zanzibar ikiwa ni mchezo maalumu wa Kumuaga Nahodha wa Yanga Nadir Haroub Cannavaro katika visiwa hivyo.

Yanga Itacheza mchezo huo siku ya Jumamosi na Klabu ya Malindi  au Kikwajuni ya Visiwani humo mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Amani.

Yanga itaondoka siku ya Ijumaa kuelekea Zanzibar na Hussein Nyika amethibitisha safari hiyo ya Zanzibar.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY