Habari mpya waliyoitoa Simba Muda Huu

Habari mpya waliyoitoa Simba Muda Huu

0

Habari mpya waliyoitoa Simba Muda Huu

Kutoka ukurasa maalumu wa Simba wa Instgram wameandika Ujumbe Huu,

TAARIFA

Uongozi wa Klabu ya Simba unapenda kuwataarifu Wanachama, Wapenzi na Washabiki wake kuwa mchana wa leo baada ya Sala ya Ijumaa (Saa 8.00) kutakuwa na KISOMO katika Makao Makuu ya Klabu Mtaa wa Msimbazi.

Lengo la KISOMO hiki ni kumuomba Mwenyezimungu aweze kuleta wepesi kwenye matatizo yaliyompata Mlezi na Mwekezaji wetu Bw. Mohammed Dewji “MO”

Tunapenda kuwakaribisha katika Kisomo hiki muhimu ili kumuomba Mungu aweze kumlinda na kumrejesha Mwenzetu salama.

Tunatanguliza Shukrani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY