Habari Mpya waliyoitoa Yanga mchana wa leo 17.10.2018

Habari Mpya waliyoitoa Yanga mchana wa leo 17.10.2018

0

Habari Mpya waliyoitoa Yanga mchana wa leo 17.10.2018

Kutoka katika ukurasa maalumu wa Yanga wa Instagram wameandika habari kuhusiana na timu yao ya wanawake kuwa leo saa tisa na nusu utachezwa mchezo wa Fainali ligi daraja la kwanza kati ya Yanga na Tanzanite Queens ya Arusha

Mchezo wa fainali ligi daraja la kwanza unachezwa leo saa 9.30 alasiri kwenye uwanja wa Karume,Dada Zetu watapambana na timu ya Tanzanite Queens kutoka Arusha.
Tunawaomba wanachama na mashabiki tujitokeze kwa wingi sana kuwapa hamasa vija wetu na ni imani yetu watashinda.

Kuzipata Habari za Yanga kwa haraka zaidi hakikisha UmeInstall App yetu >> BONYEZA HAPA <<

Kuzipata Habari za Yanga kwa haraka zaidi hakikisha UmeInstall App yetu >> BONYEZA HAPA <<

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY