Habari njema kutoka Yanga leo kuelekea mchezo wa Mbao Fc

Habari njema kutoka Yanga leo kuelekea mchezo wa Mbao Fc

0

Habari njema kutoka Yanga leo kuelekea mchezo wa Mbao Fc

Klabu ya Yanga kupitia ukurasa wake wa Instagram umeandika habari kuhusiana na kurejea katika mazoezi ya timu wachezaji wake Juma Abdul na Baruan Akilimali ambao walikuwa majeruhi.

Taarifa hii ni njema kwa wanaYanga kuelekea mchezo dhidi ya Mbao Fc Jumapili Hii kwani Yanga kwasasa inabaki kuwa na majeruhi mmoja ambaye ni Juma Mahadhi

Baada ya mapumziko ya siku moja kikosi kimerejea mazoezini tayari kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao siku ya Jumapili. “Wachezaji Juma Abdul na Baruan Akilimali wamerejea kikosini baada ya kupona majeraha yao”. “Mchezaji pekee ambae bado ajaanza mazoezi na timu ni Juma Mahadhi ambae bado anauguza jeraha lake”

Daima mbele nyuma mwiko.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY