Haji Manara ampongeza mchezaji huyu wa Yanga kwa kiwango bora

Haji Manara ampongeza mchezaji huyu wa Yanga kwa kiwango bora

0

Haji Manara ampongeza mchezaji huyu wa Yanga kwa kiwango bora

Mara baada ya mechi kati ya Simba na yanga kumalizika kwa sare ya bila Kufungana Haji manara ameandika ujumbe mrefu kupitia Instagram akielezea walivyokosa bahati katika mchezo huo

Lakini pia hajasita kumpongeza kipa wa Yanga Beno Kakolanya kutokana na kuonyesha kiwango cha Juu.

Majuzi niliandika vitu gani vinafanya team ishinde.. nikaweka kwa asilimia..mambo ya kiufundi na yanayofanana na hayo nikayapa 75%support ya fans nikayapa 15%ten % iliobaki nikataja neno bahati…yes kama unavyo vtu vyote hvyo vya 90% ukiikosa hyo bahati hushindi…nilimwambia RC Makonda @baba_keagan baada ya first half kuisha..kwa mpira tuliocheza na jinsi tulivyokosa magoli..leo itakuwa ngumu sana…sahau zile mbwembwe za kupiga nje kina @ibrahimajibu23 (itakuwa ni bad luck)…Simba ilikosa bahati..statistics za game zipo hvyo
Almost clear chances kama saba tumezikosa na wakati tukijiandaa kumlaumu yoyote yule tumsifu na @official_beno_kakolanya18 na tujue sometimes footboll is the lucky game

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY