Haji Manara ashindwa kujizuia kwa Goli la Ajibu aandika haya

Haji Manara ashindwa kujizuia kwa Goli la Ajibu aandika haya

0

Haji Manara ashindwa kujizuia kwa Goli la Ajibu aandika haya

Jana baada ya mchezo kati ya Yanga na Mbao Fc kumalizika huku gumzo likiwa ni bao la Pili la Yanga lililofungwa dakika ya 1 ya Nyongeza baada ya dakika za kawaida 90 kumalizika na Ibrahim Ajibu

Bao hilo lilifungwa kwa Style ya Bicycle Kick hali ambayo watu wengi walionekana kulisifia bao hilo kutokana kuwa nadra kupatikana.

Haji manara kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya kuhusu bao la Ajibu.

Kitu kimoja nimejifunza na naendelea kujifunza kwako UVUMILIVU..wapo waliokutukana leo ndio hao wanaojifanya kukumbuka..wengine walifika mbali sana lakini uliwavumilia..nikilala bila kuandika walau Aya mbili juu yako nitajikosea moyo wangu…na good luck @ibrahimajibu10amekupa zawadi nzuri ya goli maridhawa unaloweza kuifanya juice kwenye keki yako…..ila huyu kijana @ridhiwani_kikweteananisumbua sana huku WhatsApp.
Yaani leo toka mechi imeisha ananiandama sana..hebu mzuie kdogo..kama Ajibu kawafunga Simba @jakayakikwete

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY