Hawa ndiyo wachezaji wa Simba watakaoikosa Stand United 21.10.2018

Hawa ndiyo wachezaji wa Simba watakaoikosa Stand United 21.10.2018

0

Hawa ndiyo wachezaji wa Simba watakaoikosa Stand United 21.10.2018

Kesjho Jumapili 21.10.2018 katika dimba la Taifa kutakuwa na mchezo kati ya Simba dhidi ya Chama la wana Stand United.

Kuelekea pambano hilo klabu ya Simba itawakosa nyota wake wawili kutokana na Sababu mbalimbali.

Simba ambayo katika msimamo ipo nafasi ya 5 ikiwa na Points 14 baada ya mechi 7 huku Stand United ikiwa na Points 11 katika nafsi ya 11 baada ya kucheza michezo 9.

Video Mo Dewji akiongea kwa mara ya kwanza baada ya kupatikana

Simba itawakosa viungo wake wakabaji James Kotei ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa mechi 3 baada ya kumpiga ngumi Gadiel Michael kwenye mechi kati ya Simba na Yanga September 30, 2018.

Alichoandika Haji manara mara baada ya Kupatikana kwa Mo Dewji akiwa salama

Mchezaji mwingine atakayekosekana msomaji wa Kwataunit.co.ke  ni Kiungo Jonas Mkude ambaye ni majeruhi kutokana na kuumia kwenye mchezo kati ya Simba na African Lyon licha ya mchezaji huyo kuanza mazoezi mepesi toka alhamisi inaelezwa kuwa hatakuwa fiti mpaka kufikia mechi ya kesho. Kuzipata habari za Simba kila wakati na kwa haraka Install app yetu ya Kwata Unit BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY