Hii ndiyo timu ya kwanza kumtaka Masoud Djuma baada ya kuachana...

Hii ndiyo timu ya kwanza kumtaka Masoud Djuma baada ya kuachana na Simba

0

Hii ndiyo timu ya kwanza kumtaka Masoud Djuma baada ya kuachana na Simba

Baada ya minong’ono ya Siku nyingi kuwa Simba walikuwa kwenye mipango ya Kuvunja mkataba na Kocha wake Msaidizi Masoud Djuma hatimaye jana klabu ya Simba ilitangaza rasmi kuachana na Kocha Huyo.

Licha ya kuwa Zipo tetesi kuwa Yanga wapo katika mipango ya kumnasa kocha huyo lakini Klabu pekee ambayo imetangaza kumtaka kocha huyo ni klabu ya Mlandege kutoka Zanzibar.

Mlandege wamesema wako tayari kufanya mazungumzo na Masoud Djuma wakiamini ni kocha mzuri atakayewasaidia kuelekea msimu mpya wa ligi kuu ya Zanzibar

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY