Hivi ndivyo Bi Hindu alivyomponda kocha Masoud Djuma

Hivi ndivyo Bi Hindu alivyomponda kocha Masoud Djuma

0

Hivi ndivyo Bi Hindu alivyomponda kocha Masoud Djuma

Siku kadhaa baada ya Simba kutangaza rasmi kuwa kuachana na kocha wake msaidizi Masoud Djuma ni mengi yamekuwa yakiibuka baadhi ya washabiki wakiona viongozi wamechemka na wengine wakiona ni sawa tu.

Bi Hindu moja ya wanachama maarufu wa Simba yeye kwa Upande wake amekuja na kama Dongo kwa Masoud akiandika kupitia instagram kuwa kwani masoud kafanya nini kumzidi Kibaden, Phil au Kocha Siang’aa moja ya makocha ambao wamewahi kufanya vizuri wakiwa na Simba.

masoud kaifanyia nini simba kumzidi kibaden au Phil au siang’aaa ?? Mwache aendee simba ni kubwa kuliko masoud ila Yote Safali Njema Maish popote 🙏

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY