Jibu la kocha wa Simba kama anaamini katika Uchawi

Jibu la kocha wa Simba kama anaamini katika Uchawi

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Jibu la kocha wa Simba kama anaamini katika Uchawi

Jibu la kocha wa Simba kama anaamini katika Uchawi

Mara baada ya mchezo kati ya Simba na Yanga kumalizika kwa sare ya bila kufungana Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Patrick Aussems alifunguka na Kusema harlrwi kwanini hakupata ushindi licha ya Kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.

Na Kuhusu Uchawi au ushirikina kocha huyo alisema haamini katika uchawi.

“Hadi sasa sielewi tumeshindwaje kuwafunga Yanga kutokana na sisi kupata nafasi nyingi, tumeutawala mchezo na kumiliki mpira kwa wakati wote, ninachoweza kusema kwa kila mmoja tulicheza mchezo mzuri na tulistahili kushinda, kuamini ushirikina? mimi Hapana kabisa”

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY