Julio asema ataenda kikosini Taifa Stars hata kama atafukuzwa

Julio asema ataenda kikosini Taifa Stars hata kama atafukuzwa

0

Julio asema ataenda kikosini Taifa Stars hata kama atafukuzwa

Kocha mkuu wa Dodoma Fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania Bara amefunguka mengi baada ya matokeo ya Tanzania dhidi ya Cape Verde mchezo ulioisha kwa Stars kufungwa bao 3 kwa 0.

Julio ambaye husifika kwa hamasa KWA wachezaji amefunguka sababu za Kufungwa kuwa kujiamini kupitiliza lakini pia kuruhusu magoli ya haraka hali iliyofanya kuwachanganya wachezaji.

Matokeo Uganda vs Lesotho

Kocha huyo ambaye ni mchezaji na Kocha wa Zamani wa Simba kwa nyakati tofauti amefunguka kuwa Stars bado inanafasi ya Kufuzu na mechi ya Marudiano kuna kila sababu ya Tanzania Kushinda huku Julio akisema yeye atakuwa ni moja ya watu watakaoenda kikosini Taifa Stars kuwapa hamasa wachezaji hata kama atafukuzwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY