Kakolanya ataja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao

Kakolanya ataja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao

0

Kakolanya ataja mchezaji wa Simba aliyekuwa hatari zaidi kwao

Kipa wa Timu ya Yanga Beno Kakolanya ambaye bado ni gumzo zaidi kutokana na uwezo aliouonyesha wakati wa mechi ya Yanga na Simba iliyochezwa Jumapili 30.9.2018 uwanja wa Taifa iliyomalizika kwa sare ya bila kufungana.

Baada ya mchezo huo Kipa huyo wa Yanga alifunguka kuwa mchezaji aliyekuwa hatari zaidi kwao alikuwa Cletous Chama kiungo wa kimatifa wa Simba kutoka Zambia.

Kakolanya alifunguka kuwa Chama alikuwa ni hatari zaidi kwani kila mpira aliokuwa akiucheza kwa washambuliaji wa Simba ulikuwa hatari na yeye ndiye aliyekuwa akipiga mipira mingi zaidi kuelekea lango la yanga na mara zote alikuwa akiitawanya anavyotaka na kusababisha hatari.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY