Kenya vs Ethiopia Hakuna Kiingilio Jumapili

Kenya vs Ethiopia Hakuna Kiingilio Jumapili

0

Kenya vs Ethiopia Hakuna Kiingilio Jumapili

Serikali ya Kenya kupitia wizara ya michezo nchini humu imetangaza wazi kuwa mechi ya Kufuzu AFCON kati ya Kenya na Ethiopia hakutakuwa na Kiingilio.

Serikali imetangaza hivyo ili kuwapa nafasi mashabiki wa Taifa la Kenya kuwapa sapoti wachezaji kwenye mchezo huo muhimu kwa Kenya.

Kenya mpaka sasa inaalama nne ikiwa imeshinda dhidi ya Ghana na kutoa sare na Ethiopia Ugenini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY