Kocha Amunike apagawa zaidi na uwezo wa mchezaji huyu Taifa Stars

Kocha Amunike apagawa zaidi na uwezo wa mchezaji huyu Taifa Stars

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kocha Amunike apagawa zaidi na uwezo wa mchezaji huyu Taifa Stars

Kocha Mkuu wa TAIFA STARS Emmanuel Amunike amekiri hakujua kama Feisal Salum Fei Toto anaweza kuwa na kipaji alichokionyesha kwenye mchezo kati ya Tanzania na Cape Verde.

Kocha huyo  msomaji wa kwataunit.co.ke alikiri kuwa Fei anapokuwa mazoezini huwa anacheza kama anafanya masihara lakini katika mchezo ule ndipo aliona uwezo wake halisi kiasi cha kumpagawisha.

“Sikuwahi kumfikiri kama ana kiwango bora namna ile kwa sababu katika mazoezi anacheza utadhani anafanya masihara,” alisema Amunike.

Waliodownload App yetu kaa chonjo muda wowote Tutakuwa Tukitoa zawadi za Vocha, Kama bado haujadownload BONYEZA HAPA waliodownload endelea kutembelea

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY